good night-16
Usiku mwema.
Kei,
kuna giza nje.
Angalia
kuna nyota angani.
Ni wakati wa kulala.